Wycliff Omom Mtaalamu mpya wa tiba ya Viungo

Wycliff Omom raia wa Kenya ndiye Mtaalamu wetu wa Tiba ya Viungo kwa wachezaji kwa muda wa miaka miwili.

Wycliff anachukua nafasi ya Fareed Cassiem raia wa Afrika Kusini ambaye tumeachana nae mwezi uliopita.

Wycliffe ana leseni ya Sports Medicine kutoka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), leseni ya Physiotherapy kutoka Kenya Medical Training College.

Wycliff ambaye amewahi kufanya kazi na timu za Polisi FC, Mathare United pamoja na timu ya Taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ zote za Kenya.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER