Ahmed aondoka na Kibegi Dar kuelekea Moshi

Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally ameondoka jijini Dar es Salaam akiwa na begi lenye jezi ambazo zitazinduliwa Ijumaa saa moja usiku katika kilele cha Mlima wa Kilimanjaro.

Baada ya kufika Moshi kesho kibegi kitapelekwa Marangu tayari kwa kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.

Hii ni historia mpya kwa jezi za klabu kuzinduliwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER