read
news & Articles

Tumezindua Kibegi Part Two Buza
Ikiwa imepita siku moja tangu Kibegi kilichobeba jezi za msimu 2023/24 na kwenda kuzinduliwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro kupigwa mnada na kuuzwa kwa

Ahmed awaongoza Wanasimba kuchangia Damu Karume
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amewaongoza Wanasimba kuchangia damu ikiwa ni uzinduzi wa Wiki ya Simba. Ahmed amechangia damu katika Kituo cha

Robertinho afurahishwa na timu licha ya kupoteza dhidi ya Turan
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema amefurahi kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wetu licha ya kupoteza kwa bao moja dhidi ya Turan PFK katika mchezo wa

Tumepoteza Mchezo wa pili dhidi ya Turan PFK
Mechi ya pili ya kirafiki dhidi Turan PFK iliyochezwa katika Uwanja wa Soğuksu Spor Kompleksi umemalizika kwa kupoteza bao moja. Turan walipata bao hilo kwa

Tumeshinda 2-0 Mchezo wa kwanza dhidi ya Turan PFK
Mchezo wetu wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Turan Tovuz PFK ya Azerbaijan uliofanyika katika Uwanja wa Soğuksu Spor Kompleksi umemalizika kwa ushindi wa mabao

VIDEO: Robertinho azungumzia droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Baada ya kukamilika kupangwa kwa droo ya michuano Ligi ya Mabingwa Afrika mchana wa leo Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema jambo la muhimu ni