VIDEO: Robertinho azungumzia droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Baada ya kukamilika kupangwa kwa droo ya michuano Ligi ya Mabingwa Afrika mchana wa leo Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema jambo la muhimu ni kuhakikisha tunafanya vizuri na tupo tayari kucheza na timu yoyote.

Robertinho amesema Simba ni timu kubwa yenye mashabiki wengi hivyo lengo la kwanza mara zote ni kufanya vizuri.

Tazama hadi mwisho Video hii kuona mipango ya timu baada ya droo kutoka ambapo tutaanzia hatua ya pili.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER