Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo jioni kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakaopigwa Uwanja wa CCM Kirumba saa 10 jioni.
Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo, tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi ilivyokuwa.