read
news & Articles

Tabiri Kikosi kitakachopangwa dhidi ya Power Dynamos
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Power Dynamos kwenye mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Weka

Leo tunamaliza kazi tuliyoianza Ndola
Baada ya kupita majuma mawili leo tunakamilisha kazi tuliyoianza Ndola, Zambia kwa kuikaribisha Power Dynamos katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena tayari kwa mchezo wa kesho wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi

Robertinho: Tumejipanga kuingia hatua ya makundi kesho
Licha ya kutegemea kupata upinzani mkubwa kutoka kwa Power Dynamos katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa kesho Azam Complex saa 10

CAF yazipitisha Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa AFCON 2027
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limezipitisha nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa Fainali za AFCON mwaka 2027. Nchi hizo za Afrika Mashariki zimeamua

Ahmed: Power Dynamos wanatua kesho
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema wapinzani wetu Power Dynamos kutoka Zambia wanatarajia kuwasili nchini kesho saa 12 jioni. Ahmed amesema msafara