Tabiri Kikosi kitakachopangwa dhidi ya Power Dynamos

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Power Dynamos kwenye mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Weka utabiri wako wa kikosi ambacho unaamini kocha mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ atakipanga.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER