CAF yazipitisha Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa AFCON 2027

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limezipitisha nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa Fainali za AFCON mwaka 2027.

Nchi hizo za Afrika Mashariki zimeamua kuungana kuandaa fainali hizo ambapo itakuwa ni mara ya kwanza kuandaliwa kutoka ukanda huu.

Tayari maandalizi ya nchi hizo yanaendelea huku ukarabati mkubwa wa viwanja ukifanyika na vingine vipya vikitarajiwa kujengwa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER