read
news & Articles

Tumekaa Kileleni mwa NBCPL
Ushindi wa mabao 3-1 tuliopata dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya umetufanya kupaa hadiĀ kileleni mwa msimamo wa Ligi

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Tanzania Prisons
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja Sokoine kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’

Tupo Sokoine leo kupigania alama tatu
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo wa

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Sokoine
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho jioni kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Uwanja wa Sokoine

Robertinho, Abel wazungumzia mchezo wa kesho dhidi ya Prisons
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema tumejiandaa vizuri kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Uwanja wa Sokoine

Hawa hapa nyota 22 wanaoifuata Prisons
Kikosi kinaelekea jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Uwanja wa Sokoine siku ya Alhamisi saa
