Simba Queens waanza mazoezi kujiandaa na SLWPL

Kikosi cha timu yetu ya wanawake ya Simba Queens kimeanza mazoezi kujiandaa na Ligi kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League (SLWPL) ambayo inategemea kuanza mwisho wa mwezi huu.

Mazoezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa Mbeni Veterani chini ya kocha Mussa Hassan Mgosi.

Kikosi kimeanza mazoezi mapema kujiandaa na msimu mpya mapema kabla ya ratiba kutangazwa kwakuwa lengo letu ni kuhakikisha tunarejesha taji letu la ubingwa tulilopoteza msimu uliopita.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER