read
news & Articles

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Ahly
Leo saa 12 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahly katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya African Football League

Motsepe: AFL imekuja kuongeza uchumi wa klabu
Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) Patrick Motsepe amesema lengo la michuano ya African Football League (AFL) ni kuzisaidia klabu za Afrika kiuchumi.

Tunaenda kuandika historia kwa Mkapa leo
Historia mpya ya soka inawekwa leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo kikosi chetu kitakutana na miamba ya Misri, Al Ahly katika uzinduzi wa michuano

Robertinho: Sina presha na mchezo wa kesho
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameweka wazi kuwa hana presha yoyote kuelekea mchezo wa kesho wa ufunguzi wa michuano ya African Football League (AFL) dhidi

Bocco awataja mashabiki mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly
Nahodha wa timu, John Bocco amesema licha ya ugumu tutakaoupata kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly lakini uwepo wa mashabiki ambao watakuja kwa

Goli la mama larejea AFL
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa amesema Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ataendelea kutoa pesa ‘goli la mama’ kwa
