VIDEO: Timu yaanza safari kuelekea Morocco

Kikosi chetu kimeanza safari ya kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya mchezo wa tatu wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya Wydad Casablanca utakaopigwa Jumamosi saa nne usiku.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi wachezaji walivyoanza safari kuelekea Morocco.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER