read
news & Articles

Aishi arejea langoni Derby ya Kariakoo
Mlinda mlango, Aishi Manula amerejea langoni katika mchezo wa leo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa

Tupo tayari kwa Derby ya Kariakoo
Leo saa 11 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo dhidi ya Yanga

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa kesho wa Derby ya Kariakoo dhidi ya watani wa jadi

Robertinho: Tunazitaka pointi tatu za Yanga Kesho
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameweka wazi kuwa tutaingia kwenye mchezo wa kesho wa Derby ya Kariakoo dhidi ya watani wa jadi ya Yanga kwa

Wachezaji wamepata maandalizi mazuri kuelekea Derby ya Kariakoo Kesho
Mlinzi wa kulia ambaye ni mchezaji mwandamizi ndani ya kikosi chetu, Shomari Kapombe amesema wamepata maandalizi mazuri kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya

Biriani la Derby laliwa Temeke
Kuelekea mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumapili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tumefanya hamasa pamoja na kujipongeza kwa
