Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Wydad Leo

Muda mfupi ujao kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Wydad Casablanca kutoka Morocco katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kikosi kilichoanza kwenye mchezo uliopita dhidi ya Kagera Sugar.

Benchikha amewaanzisha Kibu Denis na Willy Onana kuchukua nafasi za Sadio Kanoute na Said Ntibazonkiza ambao wanatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Kikosi kamili kilivyopangwa:

Ayoub Lakred (36), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che malone (20), Henock Inonga (29), Fabrice Ngoma (6), Kibu Denis (38), Mzamiru Yassin (19), Jean Baleke (4), Clatous Chama (17), Willy Onana (7).

Wachezaji wa Akiba

Ally Salim (1), David Kameta (3), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Hussein Kazi (16), Abdallah, Luis Miqussone (11), Shaban Chilunda (27), John Bocco (22).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER