Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Ceasiaa Queens

Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Ceasiaa Queens katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League (SLWPL) ambayo inaanza leo.

Hiki hapa kikosi ambacho kocha Mkuu Juma Mgunda amekipanga kwa ajili mchezo wa leo.

Carolyene Rufa (28), Ruth Ingosi (20), Diana Mnali (15), Esther (23), Daniella Ngoyi (22), Violeth Nicholas (26), Asha Djafar (24), Vivian Corazone (17), Asha Rashid (14), Aisha Mnunka (10), Wambui (4).

Wachezaji wa Akiba:

Gelwa Yona (21), Dotto Everist (11), Fatuma Issa (5), Silvia (12), Joelle Bukuru (18), Joanitah (25), Olaiya Barakat (9), Mwanahamisi Omary (7), Koku Kipanga (19).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER