read
news & Articles

Leo tupo Mkwakwani kuikabili Coastal
Leo saa 12 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani kuikabili Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia kwenye mchezo

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mkwakwani
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal

Timu yafanya mazoezi ya utimamu kabla kuanza safari kuelekea Tanga
Kikosi kimefanya mazoezi ya utimamu wa mwili saa tatu asubuhi kabla ya kuanza safari ya kuelekea jijini Tanga tayari kwa mchezo dhidi ya Coastal Union

Tumepoteza dhidi ya Tanzania Prisons Jamhuri
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 2-1 mtanange uliopigwa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Prisons
Kikosi chetu leo saa 10 kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hiki hapa kikosi

Leo Tupo Jamhuri kuikabili Tanzania Prisons
Kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao utaanza saa 10 jioni. Tunaingia