Kikosi chetu leo saa 10 kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Hiki hapa kikosi kilivyopangwa
Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Israel Patrick (5), Henock Inonga (29) Kennedy Juma (26), Babacar Sarr (33), Mzamiru Yassin (19), Fabrice Ngoma (6), Freddy Michael (18), Clatous Chama (17), Kibu Denis (38).
Wachezaji wa Akiba:
Ayoub Lakred (36), Mohamed Hussein (15), David Kameta (3), Hussein Kazi (16), Abdallah Khamis (13), Edwin Balua (37), Said Ntibazonkiza (10), Ladaki Chasambi (36), Pa Omar Jobe (2).