read
news & Articles

Tumepoteza dhidi ya Tanzania Prisons Jamhuri
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 2-1 mtanange uliopigwa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Prisons
Kikosi chetu leo saa 10 kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hiki hapa kikosi

Leo Tupo Jamhuri kuikabili Tanzania Prisons
Kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao utaanza saa 10 jioni. Tunaingia

Kikosi Kamili chaondoka kuelekea Morogoro
Kikosi chetu kimeondoka kuelekea mkoani Morogoro tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Uwanja wa Jamhuri saa

Kauli ya Kocha Matola kuelekea mchezo dhidi ya Prisons
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakuwa mgumu lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata matokeo chanya.

Timu yaingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons
Kikosi chetu kimeanza mazoezi pamoja na kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Jumatano katika Uwanja Jamhuri
