VIDEO: Matola na Zimbwe Jr waelezea maandalizi ya mchezo dhidi ya KVZ

Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Kombe la Muungano dhidi ya KVZ yako vizuri na kikosi chetu kipo kwenye hali nzuri.

Matola amesema baada ya mchezo wa mwisho wa Ligi timu ilireejea mazoezini moja kwa moja kwahiyo wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri kuelekea mchezo wa kesho.

Tazama video hii hadi mwisho nahodha wa timu Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ nae amezungumza kwa niaba ya wachezaji wenzake kuhusu maandalizi ya mchezo.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER