Kikosi chetu kilichopangwa kuikabili KVZ

Leo saa 2:15 usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili KVZ kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mauungano.

Kocha Abdelhak Benckhika amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne kwenye kikosi ukilinganisha na kile kilichocheza mechi ya mwisho ya ligi.

Benckhika amewaanzisha Kennedy Juma, Ladaki Chasambi, Mzamiru Yassin na Freddy Michael kuchukua nafasi za Henock Inonga, Babacar Sarr, Saido Kanoute na Saido Ntibazonkiza.

Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:

Ayoub Lakred (40), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Ladaki Chasambi (36), Mzamiru Yassin (19), Freddy Michael (18), Clatous Chama (17), Kibu Denis (38).

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), David Kameta (3), Hussein Kazi (16), Abdallah Hamis (13), Saleh Karabaka (23), Willy Onana (7), Luis Miqussone (11), Pa Omar Jobe (2).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER