Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Yanga Princess

Leo saa 10 jioni kikosi chetu cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).

Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:

Caroline Rufa (28), Fatuma Issa (5), Ruth Ingosi (20), Violeth Nicholaus (26), Daniela Ngoyi (22), Danai Bhobho (40), Eliza Wambui (4), Vivian Corazone, Jentrix Shikangwa (25), Aisha Juma (10), Asha djafar (24).

Wachezaji wa Akiba:

Zubeda Mgunda (29), Diana Mnally (15), Olaiya Barakat (9), Esther Mayala (23), Shelda Boniface (39), Ritticia Nabbosa (27), Joanitah Ainembabazi (16), Asha Rashid (14), Mwanahamisi Omary (7).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER