read
news & Articles

Timu ya vijana yaichapa Ihefu Azam Complex
Timu ya vijana ya chini ya umri wa miaka 20 imeibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Ihefu katika mchezo wa kwanza wa hatua

Mchezo wetu dhidi ya Dodoma kupigwa Ijumaa
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji uliopangwa kufanyika Alhamisi, Mei 16 katika Uwanja wa Jamhuri umesogezwa mbele kwa siku moja

Tumegawana Pointi Kaitaba
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar uliopigwa Uwanja wa Kaitaba umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Mshambuliaji Freddy Michael

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Kagera Sugar
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Kaitaba kuikabili Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Juma Mgunda amefanya

Tupo Kaitaba leo kuikabili Kagera Sugar
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Kaitaba kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia katika mchezo wa

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Kaitaba
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Kaitaba kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar