read
news & Articles

Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Al Masry
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry yamekamilika na kikosi

VIDEO: Fadlu azungumzia hali ya kikosi baada ya siku kadhaa za mazoezi nchini Misri
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema maandalizi ya mchezo wetu dhidi ya Al Masry yanaendelea vizuri na wachezaji wetu wapo kwenye hali nzuri tayari kuipigania timu.

VIDEO: Mratibu wa timu azungumzia maandalizi nchini Misri
Mratibu wa timu, Abbas Ally amesema maandalizi ya timu nchini Misri kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry utakaopigwa Jumatano Aprili

Timu yafanya mazoezi ya kwanza nchini Misri
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya kwanza usiku huu nchini Misri ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa robo fainali ya kwanza ya Kombe la

VIDEO: Alichosema Semaji baada ya timu kufika Misri
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema baada ya kikosi kufika nchini Misri leo usiku kitaanza mazoezi kujiandaa na mchezo wa Kombe la

VIDEO: Kauli ya Kocha Fadlu kabla ya timu kuelekea Misri
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry lakini utaamuliwa katika mechi ya
