read
news & Articles

Tumetinga 16 bora CRDB Federation Cup
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya CRDB Federation Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TMA

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya TMA Stars
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili TMA Stars katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya michuano ya

VIDEO: Mazoezi ya Mwisho Uwanja wa KMC Complex
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC Complex tayari kwa mchezo wa hatua ya 32 ya CRDB Federation Cup dhidi ya TMA

Kauli ya Fadlu kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya TMA
Kocha mkuu, Fadlu Davids amesema amewaandaa wachezaji kimwili na kiakili kuelekea mchezo wa hatua ya 32 bora ya CRDB Federation Cup dhidi ya TMA Stars

VIDEO: Ahmed awaita Wanasimba KMC Kesho
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amewaomba mashabiki wetu kujitokeza kwa wingi kesho katika Uwanja wa KMC Complex katika mchezo wa hatua ya

Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea Dabi ya Kariakoo Kesho
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema maandalizi ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga yamekamilika na kila kitu kipo sawa. Fadlu amesema tumepata nafasi
