read

news & Articles

Alichosema Benchikha baada ya kutua Dar

Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amesema tulipopoteza mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya Al Ahly tuliongeza ugumu mechi ya marudiano na ndio maana tumetolewa. Benchikha amesema

Ahmed: Hatujilaumu, bali tumejifunza

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema hatujilaumu kwa kutolewa na Al Ahly katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Timu kuwasili nyumbani Alfajiri

Kikosi chetu kimeanza safari ya kurejea jijini Dar es Salaam kutoka Misri na kinatarajia kuwasili saa 10 Alfajiri. Baada ya kufika kikosi kitaingia kambini moja

Tumetolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Mchezo wetu wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly uliopigwa Uwanja wa Cairo International umemaliza kwa kupoteza kwa

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC