
CEO Kajula aongoza safari ya Moro
Mtendaji Mkuu, Imani Kajula amewaongoza Wansimba kwenye safari ya kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya uzinduzi wa Wiki ya Simba. CEO Kajula ameongozana na
Mtendaji Mkuu, Imani Kajula amewaongoza Wansimba kwenye safari ya kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya uzinduzi wa Wiki ya Simba. CEO Kajula ameongozana na
Patrick Rweyemamu ndiye Meneja mpya wa timu akichukua nafasi ya Mikael Igendia ambaye mkataba wake umemalizika. Rweyemamu anarejea kwenye nafasi hiyo baada ya kupita
Mchezo wetu wa kirafiki dhidi ya El Qanah FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini Misri uliopigwa katika Uwanja wa Canal Suez umemalizika kwa
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi leo kwa kufanya awamu moja tu ya jioni kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa mashindano hapa Ismalia
Kiungo mshambuliaji Awesu Awesu amesema ndoto yake ya siku nyingi ya kuchezea Simba imetimia rasmi leo na ni jambo la furaha kwake. Awesu amesema
Mlinzi wa kulia, David Kameta ‘Duchu’ amesema kambi yetu ya maandalizi inayoendelea nchini Misri inazidi kuwamairisha kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25. Duchu amesema
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza tutacheza dhidi ya watani wetu wa jadi Yanga katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii utakaopigwa
Kiungo mshambuliaji Awesu Awesu amejiunga nasi kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili. Awesu amejiunga nasi akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake
Wachezaji wa Simba Queens jana na leo wamefanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2024/25. Vipimo hivyo vimegawanyika
Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na mshambuliaji Pa Omar Jobe baada ya kipindi kifupi cha miezi sita. Jobe (25) raia wa