
Tumepata ushindi dhidi ya Telecom
Mchezo wetu wa kirafiki dhidi ya Telecom FC uliopigwa Uwanja wa Mercure umemaliza kwa kupata ushindi wa mabao 2-1. Mpira ulianza kwa kasi huku
Mchezo wetu wa kirafiki dhidi ya Telecom FC uliopigwa Uwanja wa Mercure umemaliza kwa kupata ushindi wa mabao 2-1. Mpira ulianza kwa kasi huku
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Mercure kuikabili Telecom FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini Misri. Mchezo huu ni
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amewaomba Wanasimba kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Agosti 3 katika Tamasha la kihistoria
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema lengo lakuja na Bonanza ni kuwafanya Wanasimba kuwa na upendo, umoja na mshikamano. Ahmed amesema
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally ametunukiwa tuzo ya matumizi fasaha ya Lugha ya Kiswahili na Taasisi ya Watetezi wa Kiswahili Tanzania
Timu yetu ya Simba Queens imepangwa kundi B katika michuano ya kufuzu fainali za Afrika kwa Wanawake kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati
Leo tumezindua jezi kwa tutakazotumia katika msimu mpya wa mashindano 2024/25 ambao utaanza mapema mwezi ujao. Uzinduzi wa jezi hizo bora na za kisasa
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally, amemtangaza nguli wa Bongo Fleva, Ally Kiba kuwa mtumbuizaji mkuu kwenye Tamasha la Simba Day litakalofanyika
Mtendaji Mkuu, Imani Kajula amewaongoza Wansimba kwenye safari ya kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya uzinduzi wa Wiki ya Simba. CEO Kajula ameongozana na
Patrick Rweyemamu ndiye Meneja mpya wa timu akichukua nafasi ya Mikael Igendia ambaye mkataba wake umemalizika. Rweyemamu anarejea kwenye nafasi hiyo baada ya kupita