
Hivi hapa Viingilio vya mchezo dhidi ya Yanga
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally ametangaza viingilio vya mchezo wetu wa Ligi unaofuata dhidi ya Yanga utakaopigwa Oktoba 19 katika Uwanja
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally ametangaza viingilio vya mchezo wetu wa Ligi unaofuata dhidi ya Yanga utakaopigwa Oktoba 19 katika Uwanja
Simba Queens imeanza na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Mlandizi Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) uliopigwa Uwanja
Droo ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyofanyika Cairo nchini Misri imekamilika na tumepangwa kundi A. Sisi ni miongoni mwa timu
Droo ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika itapangwa leo saa saba mchana Makao makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) lililopo
Wanachama wamekutana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu wa mwaka kwa mujibu wa Katiba ili kujadiliana
Mchezo wa tano wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa sare ya mabao 2-2. Tulianza
Leo saa 10:15 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo wa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa