
Kauli ya Kocha Wilken kuelekea mchezo dhidi ya Fountain Gate
Kocha Msaidizi, Darian Wilken amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate FC utakaopigwa Uwanja wa Tanzanite
Kocha Msaidizi, Darian Wilken amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate FC utakaopigwa Uwanja wa Tanzanite
Bao pekee la dakika ya 90 lililofungwa na Jentrix Shikangwa limetosha kuipa Simba Queens ushindi 1-0 dhidi ya Ceasiaa Queens katika mchezo wa Ligi
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Ceasiaa Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) saa 10 jioni. Queens
Mlinzi wa kulia, Shomari Kapombe amesema aina yake ya kushangilia baada ya kufunga bao la tatu ni ‘kuwazodoa’ waliokuwa wakishangilia jana kufuatia kuongoza ligi
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa katika Uwanja wa
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa AlI Hassan Mwinyi kuikabili Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC tukiwa
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora kuikabili Tabora United katika mchezo wa kwanza wa mzunguko
Timu ya Wabunge mashabiki wa Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi mabao 4-0 dhidi ya mashabiki wa Yanga katika Bunge Bonanza likilofanyika katika Uwanja wa
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema kikosi chetu kipo kwenye hali nzuri kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya
Mshambuliaji kinara Jentrix Shikangwa amefunga mabao matatu ‘hat trick’ katika ushindi wa 4-2 tuliopata dhidi ya Fountain Gate Princess katika mchezo wa Ligi Kuu