Leo saa 10:15 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya kuikabili JKT Queens kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili Samia Women’s Super Cup.
Michuano ya Samia Women’s Super Cup ni maalum kuelekea kilele cha siku ya Wanawake Dunia ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Machi 8.
Kikosi kamili kilichopangwa;
Janeth Shija (1), Fatuma Issa (5), Dotto Evarist (2), Violeth Nicholaus (26), Ruth Ingosi (20), Esther Mayala (23), Amina Ally (11), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (10), Aisha Juma (10), Elizabeth Wambui (4).
Wachezaji wa Akiba:
Wilfrida Seda (40), Wincate Kaari (29), Asha Djafari (24), Ritticia Nabbosa (27), Precious Christopher (8), Janeth Nyagali (12), Emeliana Mdimu (15), Asha Rashid (14), Mwanahamisi Omary (7).