read
news & Articles

Queens inahitaji alama moja kurejesha ubingwa wetu
Timu yetu ya Simba Queens imebakisha alama moja tu kabla ya kutawazwa Mabingwa na kurejesha taji la Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) ambalo tulilipoteza

Nyota saba waitwa timu zao za Taifa
Wachezaji wetu saba wameitwa katika timu zao kwa ajili ya kujiandaa na mechi za kufuzu Kombe la Dunia mapema mwezi ujao. Nyota watano wameitwa kwenye

Tumemaliza msimu wa 2023/24 kwa ushindi
Rasmi Leo tumekamilisha msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2023/24 kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Benjamin

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya JKT Tanzania
Kikosi chetu leo saa 10 jioni usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kiungo mshambuliaji

Tunafunga msimu kwa kucheza na JKT Tanzania
Msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2023/24 unamalizika rasmi leo na kikosi chetu kitakuwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili JKT Tanzania. Ni mchezo ambao

VIDEO : Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa mwisho wa kufungia msimu dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa