Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya JKT Tanzania

Kikosi chetu leo saa 10 jioni usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kiungo mshambuliaji Luis Miqussone leo ameanza baada ya kukosekana kwa kipindi kirefu kutokana nakuwa majeruhi.

Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:

Ayoub Lakred (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Ladaki Chasambi (36), Mzamiru Yassin (19), Saido Ntibazonkiza (10), Luis Miquissone (11), Edwin Balua (37)

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), Hussein Abel (30), David Kameta (3), Hussein Kazi (16), Abdallah Hamis (13), Babacar Sarr (33), Essomba Onana (7), Saleh Karabaka (23), Clatous Chama (17).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER