VIDEO : Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena

Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa mwisho wa kufungia msimu dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa kesho saa 10 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa.

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa huo ambao tunahitaji kupata pointi zote tatu.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER