read
news & Articles

Mzamiru aongeza miaka miwili
Kiungo mkabaji Mzamiru Yassin amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia katika kikosi chetu. Mkataba wa Mzamiru umemalizika mwishoni mwa msimu huu na mapendekezo

Merci Henock Inonga
Klabu yetu imefikia makubaliano ya kumuuza mlinzi wa kati, Henock Inonga Baka kwenda FA Rabat inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco. Inonga raia wa Jamhuri ya

VIDEO: Ahmed afunguka kuhusu ‘Pre Season’ na Usajili
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally ameweka wazi tarehe rasmi ya kuanza maandalizi ya msimu (Pre Season) pamoja na suala la usajili. Tazama

Karibu Unyamani Lameck Lawi
Klabu ya Simba imefanikiwa kumsajili Mlinzi wa kati Lameck Elius Lawi kwa mkataba wa miaka mitatu kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja akitokea Coastal

Asante Kennedy Juma
Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu yetu mlinzi wa kati Kennedy Wilson Juma hatokuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu mpya baada ya

Mgunda Kocha Bora Mwezi Mei
Kocha Mkuu Juma Mgunda amechaguliwa kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC wa mwezi Mei. Mgunda amewapiku Miguel Gamondi wa Yanga na Bruno Ferry wa