Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally ameweka wazi tarehe rasmi ya kuanza maandalizi ya msimu (Pre Season) pamoja na suala la usajili.
Tazama video hii mpaka mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu aina ya usajili ambayo klabu imepanga kufanya.