read
news & Articles

Omari Omari ni Mnyama
Tumekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Omari Omari kutoka Mashujaa FC kwa mkataba wa miaka miwili. Omari ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 19 ambaye

Debora Fernandes ni Mnyama
Kiungo ‘fundi’ Debora Fernandes Mavambo (24) mwenye uraia pacha wa Congo Brazaville lakini anaechezea timu ya taifa ya Gabon amejiunga nasi kwa mkataba wa miaka

Augustine Okajepha ni Mnyama
Ni rasmi tumekamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu. Okajepha ni mchezaji kijana mwenye

Fadlu Davids ndiye kocha wetu Mkuu
Tumefikia makubaliano ya kumuajiri Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 43 kuwa Kocha wetu Mkuu kwa mkataba wa miaka miwili. Kabla

Valentino Mashaka ni Mnyama
Tumeinasa saini ya mshambuliaji kijana, Valentino Mashaka kutoka Geita Gold kwa mkataba wa miaka miwili. Valentino mwenye umri wa miaka 18 ni kijana mwenye kipaji

Ahoua Jean Charles ni Mnyama
Tumefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast kwa mkataba wa miaka miwili. Ahoua mwenye umri wa miaka 22 tumemsajili