Timu yetu ya Simba Queens leo saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Amani Queens katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).
Hiki hapa kikosi kilivyopangwa:
Caroline Rufa (28), Ruth Ingosi (20), Diana Mnally (15),Violeth Nicholaus (26), Daniela Ngoyi (22), Ritticia Nabbosa (27), Elizabeth Wambui (4), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Aisha Juma (10), Asha djafar (24).
Wachezaji wa Akiba:
Zubeda Mgunda gunda (29), Fatuma Issa (5), Dotto Evarist (11), Esther Mayala (23), Shelda Bonuface (39), Danai Bhobho (40), Joanitah Ainembabazi (16), Asha Rashid (14), Mwanahamis Omary (7).