VIDEO: Ahmed afunguka baada ya ushindi wa Mtibwa

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema ushindi wa mabao 2-0 tuliopata dhidi Mtibwa Sugar ulikuwa muhimu kwetu kwakuwa unaendelea kurudisha hali ya kujiamini kwa wachezaji, mashabiki hadi viongozi.

Ahmed amesema bado malengo yetu ni kumaliza nafasi mbili za juu ili tupate tiketi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia uwezo wa Kocha Juma Mgunda.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER