Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi umemalizika kwa kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Tazama hapa matukio mbalimbali yaliyotokea na jinsi mabao hayo yalivyofungwa na mchezo mzima ulivyokuwa.