read
news & Articles

Tunaanza rasmi msimu wa Ligi Kuu 2024/25
Saa 10:15 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC kuikabili Tabora United kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 202/25.

Timu yafanya mazoezi ya mwisho KMC Complex
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United utakaopigwa

Kocha Fadlu: Tupo tayari kwa mchezo dhidi ya Tabora
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United utakaopigwa

Mechi ya Simba Queens yasogezwa Mbele
Mchezo wetu wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) dhidi ya FAD Djibouti uliokuwa upigwe kesho sasa utafanyika

Ateba aanza mazoezi rasmi na wenzake
Mshambuliaji mpya Leonel Ateba amefanya mazoezi jioni pamoja na wenzake ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu ajiunge na kikosi chetu. Ateba amefanyiwa vipimo vya

Leonel Ateba ni Mnyama
Mshambuliaji Leonel Ateba amejiunga na kikosi chetu kutoka USM Alger ya Algeria kwa mkataba wa miaka miwili. Ateba ambaye ana umri wa miaka 25 raia
