read
news & Articles

Mugalu kuongoza mashambulizi dhidi ya Dodoma leo, Luis, Wawa ndani
Mshambuliaji Chris Mugalu amepewa jukumu la kuongoza mashambulizi katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu utakaochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku. Moja ya

Baada ya dozi za Kanda ya Ziwa, Leo zamu ya Dodoma
Baada ya kumaliza mechi tatu mfululizo za Kanda ya Ziwa nakupata alama zote tisa, kikosi chetu leo kitashuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja

Miquissone, Wawa warejea kuivaa Dodoma Jiji
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema kiungo mshambuliaji Luis Miquissone na mlinzi wa kati Pascal Wawa, watakuwepo kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya

Zimbwe Jr ataja sababu ugumu wa mechi dhidi ya Gwambina
Mfungaji wa bao pekee katika mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Gwambina FC, Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesema mazingira ya Uwanja
‘Ahsanteni kwa kutulindia nafasi yetu, hatushuki ng’ooo hadi ubingwa’
Bao pekee lililofungwa na Nahodha Msaidizi, Mohammed Hussein ‘Zimbwe Junior’ katika mchezo dhidi ya Gwambina FC, limetosha kutupandisha kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya

Bocco, Kagere kuongoza mashambulizi dhidi ya Gwambina leo, Morrison ndani
Nahodha John Bocco na kinara wa ufungaji Medie Kagere wataongoza safu ya ushambuliaji kwenye mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Gwambina