read
news & Articles

Mugalu kuongoza mashambulizi dhidi ya Kaizer Chiefs Leo
Mshambuliaji Chris Mugalu amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa leo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa kwenye

Emirate Aluminium yatia mkono mechi, Simba, Kaizer Chiefs
Kampuni ya Emirate Aluminium Profile itatoa Sh 5,000,000 kwa mchezaji bora wa mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs

Gomez: Hatuwadharau lakini hatuwaogopi Kaizer Chiefs
Zikiwa zimebaki saa chache kuelekea mchezo wetu wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa uwanja wa FNB Kocha Didier

Simba kupambana dhidi ya Kaizer hadi kieleweke
Kiraka Erasto Nyoni amesema mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa Jumamosi Mei 15, mwaka huu katika Uwanja wa

Simba yafanya mazoezi kujiandaa na Kaizer Chiefs
Kikosi chetu kimefanya mazoezi leo jioni katika Uwanja wa Discovery Soccer Park hapa jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya

Kauli ya Kocha Gomez baada ya Droo ya ASFC
Licha ya kuifunga Dodoma Jiji katika mechi zote mbili za Ligi Kuu msimu huu Kocha Didier Gomez amesema mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la
