read

news & Articles

Gomez: Tulikuwa tayari kuwavaa Yanga

Kocha Mkuu Didier Gomez amesema kikosi chetu kilikuwa kwenye hali nzuri kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya watani wetu Yanga ambao umeahirishwa

Leo ndiyo leo kwa Mkapa, hatoki mtu

Leo ndiyo siku ambayo Tanzania na nchi jirani zitasimama kwa muda wa dakika 90 kufuatilia mchezo mkubwa wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya watani

Simba kuja kivingine dhidi ya Yanga

Kocha Msaidizi Seleman Matola ameweka wazi kuwa mchezo wa watani wa jadi kesho dhidi ya Yanga tutaingia kivingine na kutoruhusu makosa kama kwenye michezo iliyopita

Gomez, Chama wang’ara tuzo za VPL

Kocha Mkuu, Didier Gomez na kiungo wetu mshambuliaji Clatous Chama wameibuka kidedea kwenye tuzo za mwezi Aprili za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kocha

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC