read
news & Articles

Simba,Azam zagawana pointi
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi Azam FC uliopigwa uwanja wa Azam Complex umemalizika kwa sare kufungana bao moja. Mtanange huo

Ndemla kuanza, Bocco, Kagere kuongoza mashambulizi dhidi ya Azam leo
Kocha Didier Gomes amemuanzisha kiungo Said Ndemla katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa katika Uwanja

Ni mechi ya heshima Chamazi Leo
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa kuweka heshima wa Ligi Kuu ya Vodacom

Simba yazitaka pointi tatu za Azam Kesho
Pamoja na kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara lakini tunahitaji kushinda mechi zetu zote mbili zilizobaki ikiwepo ya kesho dhidi ya Azam

Simba yafanya mazoezi ya mwisho kuivaa Azam kesho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam FC utakaopigwa kesho saa moja usiku katika Uwanja

Simba Queens yakabidhiwa kombe lake
Timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens, imekabidhiwa taji lake la Ubingwa wa Ligi (Serengeti Lite Women Primier League) baada ya kumalizika mchezo maalumu dhidi