read
news & Articles

Simba yapokelewa kifalme Kigoma
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Timu ya Simba, imepata mapokezi makubwa baada ya kutua mkoani Kigoma tayari kwa Fainali ya Azam Sports

Simba yafanya mazoezi kuivutia kasi Yanga
Kikosi chetu kimefanya mazoezi leo jioni kujiandaa na mchezo wa fainali ya Michuano ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya Yanga utakaofanyika Julai 25, katika

Barbara afunguka siri ya mafanikio Simba 2020/21
Mtendaji Mkuu wa Klabu, Barbara Gonzalez amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa kwenye timu ndiyo sababu iliyotufanya kuchukua ubingwa wa ligi kwa mara ya nne mfululizo. Barbara

Bocco awataja Kagere, Mugalu ufungaji bora VPL
Baada ya kufanikiwa kuibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu Msimu wa 2020/21 , Nahodha John Bocco amepongeza ushirikiano aliopata kutoka kwa washambuliaji wenzake Medie Kagere

Gomes: Simba bora si Tanzania tu bali Afrika Mashariki
Kocha Mkuu, Didier Gomes ameweka wazi kuwa msimu huu tumekuwa bora si Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima na ndiyo maana tumefanikiwa kutwaa ubingwa wa

Simba yatwaa taji la VPL kwa kutoa dozi ya 4G
Timu yetu imekabidhiwa taji la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kuifunga Namungo FC mabao 4-0 katika mchezo wa mwisho wa msimu uliopigwa