read
news & Articles

Simba yashusha mashine nyingine kutoka Malawi
Klabu yetu imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Malawi, Duncan Nyoni kutoka Timu ya Silver Strikers FC. Duncan 23, ambaye hutumia zaidi mguu wa

Simba kuanza hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeitaja Simba kuwa miongoni mwa timu 10 ambazo hazitaanza hatua ya awali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. CAF

Simba yaanzia Gym Morocco
Kikosi chetu leo kimeanza rasmi mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi 2021/22 hapa nchini Morocco huku wakianzia gym. Timu imewasili Morocco jana mchana

Simba yapaa kuelekea Morocco kwa ‘Pre Season’
Kikosi chetu kimeondoka nchini mchana huu kuelekea Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2021/22 (Pre Season) kikiwa na wachezaji 24. Kambi

Benchi la ufundi, wachezaji wapata chanjo ya corona
Benchi letu la ufundi na wachezaji wote wamepata chanjo ya ugonjwa wa corona kabla ya kuanza rasmi maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2021/22. Chanjo

Simba kuanza maandalizi ya msimu mpya leo
Kikosi chetu leo kitaanza rasmi maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2021/22 huku malengo yakiwa ni kutetea ubingwa huo wa ligi, Azam Sports Federation Cup