read
news & Articles

Tunataka ubingwa wetu tu kwa KMC leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC kwa lengo moja tu la

Simba macho yote kwa KMC
Baada ya kupoteza mchezo uliopita sasa nguvu zote tumezielekeza katika mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya KMC utakaopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba kambini kuivutia Kasi KMC
Kikosi chetu kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC utakaopigwa Jumatano Julai 7, saa moja usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Gomes: Tumeumia, tumewaangusha mashabiki wetu
Baada ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu Didier Gomes amesema matokeo hayo yametuumiza kwani tumewaangusha mashabiki wetu ambao walikuwa na matumaini

Wametuchelewesha tu, ubingwa uko pale pale
Pamoja na kupoteza mchezo kwa bao moja mbele ya watani wetu Yanga lakini ni kama wametuchelewesha ila ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu

Morrison aanza ‘full kuwakera’ kwa Mkapa leo
Kiungo mshambuliaji Bernard Morrison ameanzishwa katika kikosi cha kwanza kilichopangwa kuikabili Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa leo saa 11
