read
news & Articles

Hiki hapa Kikosi cha Simba Queens kitakachoikabili PVP FC
Kocha Mkuu wa Timu ya Wanawake ya Simba Queens l, Hababuu Ally ameweka wazi majina ya wachezaji 11 watakaoshuka dimbani kuikabili PVC Buyenzi ya Burundi

Simba Day Septemba 19
Tamasha kubwa linalosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa mpira ndani na nje ya nchi la Simba Day litafanyika jijini Dar es Salaam Jumapili ya Septemba

Sakho atupia tena Morocco
Kiungo mshambuliaji Pape Ousmane Sakho ameendelea kuonyesha kuwa ni mchezaji hatari na hana masihara mbele ya lango baada ya kufunga bao la pekee katika mchezo

Simba kimataifa zaidi, yazindua App
Klabu yetu leo imezindua rasmi App ambayo itarahisisha wanachama, wapenzi na mashabiki kupata taarifa za moja kwa moja kuhusu kila kitu kinachoendelea ndani ya timu.

Simba kujipima tena leo nchini Morocco
Kikosi chetu leo jioni kitacheza mchezo wa pili wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Olimpique Club De Khouribga ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea

Simba yatoa 12 timu za taifa, watatu mkopo
Jumla ya wachezaji 12 wa timu ya Simba wameitwa katika timu mbalimbali za taifa barani Afrika kwa ajili ya michuano ya kuwania kufuzu kwa mashindano
