read
news & Articles

Kennedy atoboa siri ya kiwango chake
Mlinzi wa kati Kennedy Juma ametoboa siri ya kiwango chake kuimarika ni mazoezi, kujituma, kujitunza na kujitambua kuwa ni mchezaji na muda wowote akipewa nafasi

Simba kupaa mchana kuifuata Dodoma Jiji
Kikosi chetu leo mchana kinaondoka jijini Mwanza kwa Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), kuelekea Dodoma kikipitia Dar es Salaam tayari kwa mchezo wa

Simba, Biashara hakuna mbabe
Mechi yetu ya kwanza ya Ligi kuu dhidi ya Biashara United iliyopigwa Uwanja wa Karume mkoani Mara imemalizika kwa sare ya bila kufungana. Mchezo ulianza

Kagere, Bocco kuongoza mashambulizi dhidi ya Biashara leo
Kocha Didier Gomes leo ameamua kuanza na washambuliaji wawili Medie Kagere na John Bocco katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya Biashara United

Tunazitaka alama tatu za Biashara
Timu yetu leo itashuka katika Uwanja wa Karume mkoani Mara saa 10 jioni kucheza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu dhidi ya Biashara United. Katika

Nyota 23 waliosafiri kuifuata Biashara
Kikosi cha wachezaji 23 kimefika salama mkoani Mara tayari kwa mchezo wetu wa kwanza wa ligi dhidi ya Biashara United utakaopigwa kesho Jumanne katika Uwanja