read
news & Articles

Uzi mpya wa Simba tayari mtaani
Jezi zetu za Msimu Mpya wa Ligi 2021/22 tayari zimetoka na zipo mtaani zinauzwa katika maduka yote ya Vunjabei nchi nzima kuanzia leo. Uzinduzi rasmi

Oppa kuiongoza Simba Queens mbele ya FAD FC
Mshambuliaji kinara wa timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens, Oppa Clement ataongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa leo wa kukamilisha hatua ya makundi dhidi

Simba Queens yafanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa FAD
Kikosi cha timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens mchana huu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Gymkhana kujiandaa na mchezo wa tatu wa

Kauli ya Nahodha Simba Queens kuelekea mchezo wa kesho
Nahodha wa timu yetu ya Wanawake Simba Queens, Violeth Nicholaus amesema mchezo wa kesho dhidi ya FAD FC utakuwa mgumu kutokana na uhitaji wa alama

Barbara ashukuru mwitikio Simba App
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez, amewashukuru wana Simba kwa namna walivyojitokeza kwa wingi kupakua Simba App. Gonzalez alisema kitendo cha kupata watumiaji wa

Gomez: Morocco ilikuwa safi
Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomez da Rosa, amesema kambi ya Morocco ni msingi muhimu wa maandalizi ya msimu ujao wa mashindano unaoanza mwezi huu.
